Unakumbuka Simba ya Azim Dewj na Yanga ya Abass Gulamali?

Unakumbuka Simba ya Azim Dewj na Yanga ya Abass Gulamali?

Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo
 
Heheee! Sawa ila kwangu hao ni wajuzi juzi tu,asante kwa mchango wako.
Wacha nimsaidie kujibu mkono hujikuna unapofika ndo maana kasema yeye anawakumbuka hao ndo size yake sisi wakongwe ya kwetu hayawezi au sio ndugu?
 
Hii khabari alinisimulia salum kabunda (marehemu )mwaka 92 amani stadium usiku simba na yanga dakika ya 6 kenneth mkapa anapewa kadi nyekundu kabunda kamfuata refa mzee hafidh ally kumuuliza kulikoni akamjibu nawe nikupe? Simba alishinda kwa matuta.
 
Back
Top Bottom