moniccca JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,383 Reaction score 3,285 Oct 26, 2016 #61 Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Oct 27, 2016 #62 moniccca said: Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo Click to expand... Hongera bibie nawe kwa kutoa mchango wako nawapenda sana kina dada wanaopenda soka.
moniccca said: Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo Click to expand... Hongera bibie nawe kwa kutoa mchango wako nawapenda sana kina dada wanaopenda soka.
CleverKING JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 8,502 Reaction score 25,470 Oct 27, 2016 #63 moniccca said: Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo Click to expand... Heheee! Sawa ila kwangu hao ni wajuzi juzi tu,asante kwa mchango wako.
moniccca said: Mi namkumbu juma kaseja na emanuel okwi enzi hizo Click to expand... Heheee! Sawa ila kwangu hao ni wajuzi juzi tu,asante kwa mchango wako.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Oct 27, 2016 #64 CleverKING said: Heheee! Sawa ila kwangu hao ni wajuzi juzi tu,asante kwa mchango wako. Click to expand... Wacha nimsaidie kujibu mkono hujikuna unapofika ndo maana kasema yeye anawakumbuka hao ndo size yake sisi wakongwe ya kwetu hayawezi au sio ndugu?
CleverKING said: Heheee! Sawa ila kwangu hao ni wajuzi juzi tu,asante kwa mchango wako. Click to expand... Wacha nimsaidie kujibu mkono hujikuna unapofika ndo maana kasema yeye anawakumbuka hao ndo size yake sisi wakongwe ya kwetu hayawezi au sio ndugu?
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Oct 27, 2016 #65 Hii khabari alinisimulia salum kabunda (marehemu )mwaka 92 amani stadium usiku simba na yanga dakika ya 6 kenneth mkapa anapewa kadi nyekundu kabunda kamfuata refa mzee hafidh ally kumuuliza kulikoni akamjibu nawe nikupe? Simba alishinda kwa matuta.
Hii khabari alinisimulia salum kabunda (marehemu )mwaka 92 amani stadium usiku simba na yanga dakika ya 6 kenneth mkapa anapewa kadi nyekundu kabunda kamfuata refa mzee hafidh ally kumuuliza kulikoni akamjibu nawe nikupe? Simba alishinda kwa matuta.