Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

Binafsi hata sikumbuki what happened!!!..
 
Mi dingi hakuonyesha mpango wa kunitahiri, nikawa nataniwa na madogo mtaani.

Kuna siku niliamua kuipakaa minyaa, ikavimba balaa.
Dingi akashauriwa na rafiki zake nitahiriwe.

Nilipotahiriwa, wakati bado kidonda kibichi, ikawa inasimama mara kwa mara,na kuvujisha damu, basi solution ilikua ikisimama tu, ni kugonga vile vifundo vya miguu kwa chuma au nyundo, inalala hapohapo.
 
Mkuu hizi fiksii nini. Teh teh.
 
Nawapenda sana wanaume waliotahiriwa porini(kimila) wanajielewa mno, Yale mafunzo wanapewa kule yanasaidia
 
Mie nilikatwa na nurse mama wa classmate yangu
 
Mimi kama leo nimetahiriwa kesho yake nikapiga nyeto bao3.
 
Kuna siku nilimpeleka Dogo nilikua naogopaa,baada ya kumaliza basi ile ganzi ilikua bado haijaisha ,Kwa confidence akanambia sister kumbe hata hapaumi sana si hivi natembea freshi tu, nikaona kweli yawezekana hapaumi kihivyo.

Basi tumefika home akaenda zake kupumzika, sasa bana kumbe ganzi imeisha, nikasikia bonge la kelele nikashtuka huyu vipi tenaa, nikatoka nduki mpaka room kwao aiseeee nilimkuta macho mekundu analia huku anajipepea na gazeti wakati ni msimu wa baridi, nilihisi anakufaa, shikamoo wanaumee[emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] ,polee walikufanyaje mkuu.
Enzi za utoto. Kuna siku Niko zangu ndani, Kuna mijitu ikaja kuniita. Ile kwenda nje pasipo kuangalia chini kumbe ilinisimamisha sehemu yenye siafu. Basi bwana Ile Niko zangu home usiku kumbe kuna siafu kapitiliza ikulu. Imagine siafu yuko ndani ya lile lingozi akaanza kung'ata huko. Hapo huwezi kumtoa. Kilio chake kilikuwa balaa. Asubuhi yake ikabidi nikasalimishwe hospitali. Ikabidi nitahiriwe kabisa ili kumtoa yule jamaa siafu huko.
 
Aisee huyo siafu hajiheshimu kabisa ,aliingia mpaka ndani duh,pole ila si mbaya bora ulitolewa tu, ila ulishindwaje kumkill humo humo ndani, ungejipiga ngumi tu[emoji3] [emoji3] au ingekua worse zaidi[emoji3] polee
 
Aisee huyo siafu hajiheshimu kabisa ,aliingia mpaka ndani duh,pole ila si mbaya bora ulitolewa tu, ila ulishindwaje kumkill humo humo ndani, ungejipiga ngumi tu[emoji3] [emoji3] au ingekua worse zaidi[emoji3] polee
Huwa najiulizaga sijui kwa nini nikishindwa kumtoa. Nahisi alikaa mahali pabaya plus utoto nikaishia tu kulia. Ningekuwa nshakuwa na akili zangu timamu ningepambana nae aisee. Thanks, though ishapita miongo kadhaa sasa.
 
Mimi nilipelekwa kijijini kwa babu huko. sio hizi ganzi za hospital..!.

kama umepelekwa kijijini kama Mimi ambapo unakaa mwezi mzima ni marufuku kumuona mwanamke yeyote.. basi tupeane tano.. tumepitia mengi
 
Sio Morogoro hii?
 
Hahahahahah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…