Kaskazini sijawahi kuona hii kitu…Ni bus gani haina tabia hizi
Route za kwenda mikoani hasa kuanzia Dar-Mbeya, Dar-Mwanza Bus nyingi zina haya mambo ya kupakiza abiria inakuwa usumbufu tenaKaskazini sijawahi kuona hii kitu…
Huku VIP ni VIP.. level seat mpaka konda 🤣🤣
Kilimanjaro wana huu ushamba mkuu. Nimewahi kushuhudia.Kaskazini sijawahi kuona hii kitu…
Huku VIP ni VIP.. level seat mpaka konda [emoji1787][emoji1787]
kwangu gari ya luxury ni ile yenye wifi ya uhakika, basi... hayo mengine manjonjo
Hivi ni wewe peke yako umefika kaskazini?Kaskazini sijawahi kuona hii kitu…
Huku VIP ni VIP.. level seat mpaka konda 🤣🤣
NdiyoHivi ni wewe peke yako umefika kaskazini?
silagi njiani aisee sitaki kesi😂Ili ukishakula mayai yako ukapoop wapi? 🤣🤣
Miaka ya nyuma nilibahatika kupanda bus ilikua na hadhi ya VIP kiukweli niliifurahia ata abiria wake walikuwa watulivu na wastaarabu, video zilizokuwa zinaoneshwa pamoja na mpangilio wa nyimbo katika bus hilo lilimfanya abiria ajihisi yupo katika sehemu salama sana ubora wa viti vyake na hata eneo la choo.VIP kibongo bongo bado sana, ndio tunajifunza tuseme ukweli tu... Labda miaka michache ijayo tutafika
Sasa hivi sio ajabu kukuta gari ni VVIP lakini choo kibovu, AC ya magumashi, mwendo wa dereva ni kanyaga twende babaakee, movie zilezile kila siku za mkojani, Ringo, Nagwa... Customer care mbovu, usalama wa mizigo muda mwingine mdogo kwa hiyo ni vuruguvurugu
Kuna bus (Sitalitaja) nilipanda kwenda mkoani nikajutia kutoa hela yangu kwamba nimepanda VIP.
Ni kweli, safarini ni sehemu ya kutuliza mawazo na kupata utulivu lakini kukiwa na mihangaiko na usumbufu wa hapa na pale kiukweli inakera sanaMiaka ya nyuma nilibahatika kupanda bus ilikua na hadhi ya VIP kiukweli niliifurahia ata abiria wake walikuwa watulivu na wastaarabu, video zilizokuwa zinaoneshwa pamoja na mpangilio wa nyimbo katika bus hilo lilimfanya abiria ajihisi yupo katika sehemu salama sana ubora wa viti vyake na hata eneo la choo.
Tofauti na bus za siku hizi nyingi bus lina AC lakini abiria anafungua fungua madirisha , mfumo wa music mbovu upangiliaji wa music na filamu mbovu muda wote abiria unakuwa upo katika hofu KILA abiria anaetaka kushuka unakuwa na wasiwasi nae.
Kuamshwa amshwa kwenye seat mara ticket
1. Kajifunzeni South Africa basi halina Kondakta Wala kugawana pipi/biskuti/maji/soda. Vyote unapata hotelini/supermarket mtakaposimama kupata chakulaMiaka ya nyuma nilibahatika kupanda bus ilikua na hadhi ya VIP kiukweli niliifurahia ata abiria wake walikuwa watulivu na wastaarabu, video zilizokuwa zinaoneshwa pamoja na mpangilio wa nyimbo katika bus hilo lilimfanya abiria ajihisi yupo katika sehemu salama sana ubora wa viti vyake na hata eneo la choo.
Tofauti na bus za siku hizi nyingi bus lina AC lakini abiria anafungua fungua madirisha , mfumo wa music mbovu upangiliaji wa music na filamu mbovu inafikia hatua unajua kabisa baada ya hii nyimbo inafuata nyimbo gani muda wote abiria unakuwa upo katika hofu KILA abiria anaetaka kushuka unakuwa na wasiwasi nae.
Kuamshwa amshwa kwenye seat mara ticket
Abiria anafahamu kabisa kuna mahali utafika utapewa breakfast na food bites lakini ndio kwanza kuanza kuagiza maembe mahindi ya kuchoma na kuchemsha hali ya Hewa kwenye bus inabadilika