BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Watu wa namna hii wanashangaza Sana na kuumiza how come unajifanya innocent kumbe ni devil inside
Mfano MAFUEL ni Mzee wa Kanisa ,huko wanamuamini sana lakini matukio yake ni ya kutisha David Jumbe ameeleza jinsi kundi la MAFUEL lilivyotaka KUMTEKA.Watu wa namna hii wanashangaza Sana na kuumiza how come unajifanya innocent kumbe ni devil inside
Dini ni uwanja wa kuficha makucha ya watu.Watu wa namna hii wanashangaza Sana na kuumiza how come unajifanya innocent kumbe ni devil inside
Walokole ni special group, yaan kwa kiswahili ni kundi maalumuKuna Mama Mlokole, Jiran kidogo na ninapokaa.
Alizuia Bomba la maji lisipite pemben ya ukuta wake. Akataka lichimbwe katikati ya barabara.
Mjumbe ndio alikuja kusuluhisha ile kesi . Na Komwe likamshuka.
Ana roho mbaya sijapaga balaa.
Na kwenye Walokole 5 niliowah kukaa nao karibu. 4 wana roho mbaya sana.
Sasa nikajiuliza . Hawa wako walokole na wako hivi. Wasingekuwa walokole wangekuwa wachawi w kuua watu kabisa 😊😊😊😊