ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Haya buana.. Ila inakata stimu hasa Kwa wanywajiMbona KFC na McDonalds unalipa kabla?Kwani si ungelipa au ulitaka huduma bure?
Ukilipa mwanzo kuna ladha inapungua?
Ndo vizuri ili ujue umebaki na shs ngapi na unaongeza kinywaji kiasi Gani!Haya buana.. Ila inakata stimu hasa Kwa wanywaji
Wewe utakuwa mgeni wa baa! Siku hizi hiyo kawaidaKama club Sawa tunaweza kukubali ila sehemu open mtu una akili zako nafika nipate huduma eti kabla sijakula au kunywa nadaiwa hela jamani mbona tunatiwa ubwege sana tunatoana class pasipo la msingi ingelikuwa kweli kuna matukio ya watu kukimbia kulipa au kudai Kwa bunduki kweli tungekubali wasiwasi huo.
Huyo jamaa nia yake apige vyombo na kujifanya anaenda toilet na kusepa!Kama huna nia mbaya ya kuwadhurumu unapata shida gani???