poaa red za wewemambo vipi
niko vyedii rafiki angusalama tu uko aje huko
naona leo umeamka na tulio zaliwa na virusπ€£π€£π€£
Hapo biyee
sema wengi wanapenda kuopoa ndo maana hawaoni umuhimukwa nn huviamini
Point
hebu niacheππHapana win,
umezalaiwa na virus??
Pole kwa kusahau. Maua yetu mkishafikia utu uzima mnasahau sahau sana.Anhaaa nilisahau siku hizi kuna vifaa vya kupima hapo hapo,,,,Ahsanteπ
Kaka si tupo kwaresima....maswali ya kuset yamefikaje huku