Unalazimishwa na mkeo?


usipime ndugu yangu..ukiona the bar is that high basi u can guess the rest.Huwezi ukaweka vipimo that high halafu wewe ukawa ziiii!
 
mibaba ya namna hiyo wakataeni kwa nguvu zote

Sasa Bwana Freetown, embu eleza kitu kinachosomeka, utamkataa vipi mtu uko nae kitanda kimoja...ukigeukia huku unae...ukiamka unae,...Mzungu wa Nne unae!...Ngumu sana Dogo!
 



hahaha kwa style hii inabidi tuwe wanajeshi
 


...VC hii safi sana! 😀

kwa kuongezea tu, unaweka kiwango ambacho kila mmoja wenu anawajibika kutokukivuka! mfano; kufuli nyeupe, shuka nyeupe, vest, bra, 'shumizi' nyeupe... siku akinunua rango tofauti lazima awekwe kiti moto!

Apart from that, naona ajabu hizi complaints za wanaume na toilet seats, au wanaoacha samples za urine kwenye toilet seats na kwenye floor... Exhibits all over the place!, no wonder hawachelewi kufumaniwa watu wa aina hiyo! ...
 
Duuu,huu ni uongo maridhawa!!
 
Duuu,huu ni uongo maridhawa!!

Imay not be sure of anything about you, but at least i know you have a head to use whenever you vomit such septic words!...huh!

Watu wasio na hoja utawajua tu...Barren heads..Nothing completely...Noooothing...Absolutely nothing...Huh!

Nincompoop...!

No Pornography here...Go there..where you belong..!

Je,huu ni upungufu/ukosefu wa nguvu za kiume?
mchajikobe
7th October 2009, 04:46 PM
 


Ukweli uko bayana ni almost 70% ya wanaume mpaka wabembelezwe zaidi ya mara mbili tatu ivi ndio waende kukoga wifu asipokuwa makini jamaaaa anaweza kulala bila kukoga jamani esp ile mikoa ya Baridi Arusha na Iringa na huko mbeya na mengineyo tetetete

Tuwe tunaoga tuache uzembe alaaaaah

 
ahahahahaha...PJ...naona una-mrudisha kijana kobe where he belongs...ila ni uhuru wa kutoa maoni yake ndio unatumika....kuwa na subira utajifunza mengi.
 
Nina wasiwasi hao madada ni machangu!walijuaje mambo hayo ya chumbani kwa wenzao?
 
ahahahahaha...PJ...naona una-mrudisha kijana kobe where he belongs...ila ni uhuru wa kutoa maoni yake ndio unatumika....kuwa na subira utajifunza mengi.

Thanx WHO CARES...(ya ki-JF)

Ameniboa huyu JAMAA..!

Anasema " ni uwongo" bila kuweka hoja..".NO EVIDENCE NO RIGHT TO SPEAK"....how hypocrisy...!
 
[/U]


hahaha kwa style hii inabidi tuwe wanajeshi

wanajeshi na sio mchezo maana kuna wanaume wengine ni wakorofi sana na wanakera mno mpaka uwahamshe watoto wako wote wakusalimie???? na wewe kwanini urudi late hrs hatujui ulikotoka na umeshikwa shikwa huko na shamba kipara zako na bar medi huko. its not fare kwa wake zetu kuwafanyia hivyo.

 

Jamani, kulazimishana si ndio mapenzi yenyewe hayo? Hivi hamjui kuwa kina baba wengi kupeti petiwa na kubembelezwa ndio raha yenyewe hiyo?
 

eti...hapa kuna uwalakini wa maneno ya hao kina mama...eti= ni kitu ambacho hawana uhakika nacho saaaana...research haijafanyika ya kutosha...

mibaba mingi tu...hapa napo tujue sampling yao ni kwa wwatu wangapi na pia aina ya hiyo mibaba...kama ni mibaba miwil out of 1 million mibabaz....nadhani namba haitoshi kujustify tabia zetu mibaba ya kutokuoga au usafi wa mwili in general....

Pj naomba pia uwaulize hao kina mama walioolewa...je, mabadiliko ya tabia za usafi wameyaona kabla hawajaolewa au baada ya kuolewa na hao waume zao???...kama ni baada ya kuolewa, je hawaoni kama wao ndio chanzo cha mabadiliko ya tabia za usafi za wapendwa waume zao?

kama ni kabla ya kuolewa je kwanini hawakumkunja samaki angali mbichi mpaka leo wanalallamika kuwa samaki hakunjiki?...au ndicho kilicho wavutia kuingia ndoani na waume zao wa sasa ( then uchafu kwao kilikuwa kigezo cha kumpata mr. right wao)

thanks to Vera city ALIYEAMUA KUWEKA WAZI KIGEZO CHA USAFI IN DETAILS KWA YEYOTE ANAYEHISI KUWA ANAMUHITAJI KUWA MAMA YA BATOTO WAKE.
 
Jamani, kulazimishana si ndio mapenzi yenyewe hayo? Hivi hamjui kuwa kina baba wengi kupeti petiwa na kubembelezwa ndio raha yenyewe hiyo?

Jamani hata kwenda kukoga jamani??? mpaka napo upetiweeee duh kali hiyo ungaliniambia kuwa wife siku hizi hakuoshi mgongo anakuacha unaenda koga mwenyewe kwa bafuni hapo sawa ila baba Gashle maji tayari mara ya tatu heeee jamani we ulitaka uambiwe vipi?? unajua sie wanaume tuna kasumba mmoja ukirudi tu home 1st ni kwenye CNN,BBC,SKYNEWS, ALJAZERA,TBC1,ITV,SUPERSPORT 1.......7 ESPN Ten Sport au magazeti ukiambiwa tu kitu nikama umepotezewa direction na huo ndio ukweli kabisa tukubali tuuuu yaishe tusiwe wabishi hapa.

Ukirudi wamsingizia aise yule GM ni mshenzi sana na FC nae wote ni wajinga sana kumbe umekwaruzana na shamba kipara yako hapo njia leo amekuambia hajisikki vibaya mpaka siku nyingine imekuwa soooo, umerudi atai uko busy na tv au magazeti teh teh teh na umenuna nyuzi 90

 

Who Cares?;...

LABDA NIANZE KWA KUSEMA KWAMBA inagharimu kuwa kwenye NDOA kujua ukweli huu!...Sijui kama wewe Mkuu ulishabahatika kuwa kwenye ndoa(ya kudumu, si ya kuoa jioni na kuacha asubuhi).

Lakini kwa aliyepata kuishi maeneo hayo anajua in details juu ya tabia hizi, na zingine nyiingi zinazoshangaza, na huwezi kujua kama zilianzia wapi, kabla au baada ya ndoa!

Huyo Veracity ameweka vigezo hivyo baada ya kulijua suala hili kiundani, otherwise "who cares" as you yourself said!

Nadhani umenipata Mkuu wangu!
 
Kuna wanaume kweli wanalazimishwa kufanya usafi, wavivu wa kuoga, wavivu kuondoa nywele sehemu za siri na makwapani.
Mtu utakuta kwapani ana manywele hadi yanabadilika rangi kuwa brown.

Huwa nikienda gym huko ndio balaa, maana utakuta mwanaume kavaa top zile zinazoacha kwapa wazi...............utakuta mtu ana manywele balaa, kama hanyoi kwapa basi hata chini hanyoi.
 

Looool..!

Ama kweli Pretty we ni wa hatari sana...Unaongea ukweli mno...SPARE US A BIT...mh!

Lakini tuweke katika mahesabu kuwa mtu hawezi kuwa msafi by 100% kwenye kila idara ya mwili...that will be living in the ALIEN PLANET!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…