msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
Habari za asubuhi wakuu... nimepata mtu anauza kiwanja, viwege, Dar kuepusha majuto na kupoteza hela, naombeni uzoefu wenu kabla ya kujitosa...naomba kujua
Barabara za mtaa huwa zinatakiwa kuwa na upana gani!? ,isije kula kwangu..
Kiutaratibu Mpaka kati ya eneo la mtu mmoja na mwingine unatakiwa kuwa na gap la ukubwa gani?
Ni mbinu gani huwa mnatumia kuepuka kuuziwa eneo baya au lenye mgogoro na kukabiriana na janjajanja ya madalali(kupandisha bei, kuuza mara mbili ,n.k)?