Unalijuaje eneo zuri?

Unalijuaje eneo zuri?

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
277
Reaction score
381
Habari za asubuhi wakuu... nimepata mtu anauza kiwanja, viwege, Dar kuepusha majuto na kupoteza hela, naombeni uzoefu wenu kabla ya kujitosa...naomba kujua
Barabara za mtaa huwa zinatakiwa kuwa na upana gani!? ,isije kula kwangu..

Kiutaratibu Mpaka kati ya eneo la mtu mmoja na mwingine unatakiwa kuwa na gap la ukubwa gani?

Ni mbinu gani huwa mnatumia kuepuka kuuziwa eneo baya au lenye mgogoro na kukabiriana na janjajanja ya madalali(kupandisha bei, kuuza mara mbili ,n.k)?
 
Uliza hilo eneo kipindi cha mvua linakuwaje, Viwege kuna maeneo yamepitiwa na mikondo ya maji na mvua zikinyesha inakuwaga wa ndani wa ndani wa nje wa nje
Pia kuwa makini na utapeli wa ardhi maana umeshamiri sana huko, utaletewa m/kiti feki na muhuri feki, mashahidi feki, mkajikuta mmeuziwa wengi eneo moja halafu wote mmepigwa
 
Kununua viwanja vya skwata ni mitihani kutapeliwa ni nje nje......Viwege ndio sehemu gani huko dar?
 
Habari za asubuhi wakuu... nimepata mtu anauza kiwanja, viwege, Dar kuepusha majuto na kupoteza hela, naombeni uzoefu wenu kabla ya kujitosa...naomba kujua
Barabara za mtaa huwa zinatakiwa kuwa na upana gani!? ,isije kula kwangu..

Kiutaratibu Mpaka kati ya eneo la mtu mmoja na mwingine unatakiwa kuwa na gap la ukubwa gani?

Ni mbinu gani huwa mnatumia kuepuka kuuziwa eneo baya au lenye mgogoro na kukabiriana na janjajanja ya madalali(kupandisha bei, kuuza mara mbili ,n.k)?
Nenda ardhi kapate ramani ya eneo husika!
Pia zingatia upande wa kiroho pia! Kuna ardhi ni tasa, nyingine zina laana na maagano mabaya
 
Uliza hilo eneo kipindi cha mvua linakuwaje, Viwege kuna maeneo yamepitiwa na mikondo ya maji na mvua zikinyesha inakuwaga wa ndani wa ndani wa nje wa nje
Pia kuwa makini na utapeli wa ardhi maana umeshamiri sana huko, utaletea m/kiti feki na muhuri feki, mashahidi feki, mkajikuta mmeuziwa wengi eneo moja halafu wote mmepigwa
Shukran mkuu
 
Duuh...nitajuaje sasa,?
Nnaanza kutishika, kama kunamacomplication ya hivyo, bora kula tuu kahela haka [emoji23]

Back
Top Bottom