Gawiwowoamepokea ndio.Tigo gawio hawajabadilisha, meseji zinakuja umepokea tigo gawio na sio yass gawio.
1: Promo kubwa sana mtaani.Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA??
Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
NichekemieMimi sina mengi ya kusema, ukizingatia siyo Mtumiaji wa huo mtandao, ila kikubwa tu ni kwamba Yanga Atafungwa Sana
Jambo hili nami lilinikuta. Nimeenda kutoa pesa kwa wakala, kwangù pesa imekwenda kwa wakala lakini sijapata sms na wakala hajapokea sms. Nikawapigia hao YAS lakini wakanijibù mtandao Tigo pesa ukò chini kwa hivyo nimwambie wakala atazame salio Lake. Wakala anasema yeye haoni pesa na akiwapigia Hao Yas hawapokei simu basi nikakubali kupokea hasara lakini nimeamua kutofanya muamala wa aina yoyote kwenye mtandao wao.Nimefanya transaction ya 30K pesa haikufika na ktk balance yangu wamekata sielewi kwa nini mpaka sasa hawajarudisha hiyo 30K .Nimetumia App yao sasa sielewi watarudisha au ndio washakula SIJUI.
Buzz/Bazz,mobitel,tigo na sasa yas almost 20yrs unataka kumpatia muda gani,it’s either nimitambo mwenye Mali hawekezi or watu walionao hawana uzoefu wa wanachofanyaTuwape muda. Hakuna jambo zuri linalokuja ghafla, kubadilisha jina kunaendana na mabadiliko makubwa ya utoaji wa huduma bora na maboresho mbalimbali. Natarajia kuiona Yas kama mtandao bora baada ya mwaka mmoja.
Jadda una vurugu Sana, nikija mjini nita kupeleka golden fork ili tubishane vizuri.Mimi sina mengi ya kusema, ukizingatia siyo Mtumiaji wa huo mtandao, ila kikubwa tu ni kwamba Yanga Atafungwa Sana