Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mkuu naomba urudishe ule mguu wako tafadhali.[emoji23]Mie nawajua kina Mariam
Mtoto mzuri sana aisee
mzuri sana na inaonekana yaliyomo yamo pia....Mtoto mzuri sana aisee
Hahaaa haaahaNimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako unalizungumziaje jina la MIRIAM aka MIRI?
Mkuu unapendaga type hizi???[emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji85]
Kweli kabisa[emoji23] [emoji23]Naunga mkono hoja la sivyo tutaandamana
Wakubwa wanafaidi sanamzuri sana na inaonekana yaliyomo yamo pia....
Mkuu unapendaga type hizi???
MsalimieEeee ninae.. tena leo birthday yake
Sijakuelewa....Upo hapa Kwa udhamini wa twaweza au?Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako unalizungumziaje jina la MIRIAM aka MIRI?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276]Sijakuelewa....Upo hapa Kwa udhamini wa twaweza au?
Anyway,Girlfriend wangu anaitwa Miriam