Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wewe ni mwanachama wa kile chama?
Hapana baba huwa kwa hiyo kitu siko kabisa, huwa najilipua mara chache sana nikiwa na msongo wa mawazo, inaweza kuwa hata maramoja kwa miezi sita au kwa mwaka
 
Wapole machoni ila ni wagumu sana mioyoni... Ni marafiki wazuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…