Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

p-jpg.480083
Hebu ongezeni picha nyingine kama hizi za kina miriamu ili tuweze ku comment vizuri.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wewe ni mwanachama wa kile chama?
Hapana baba huwa kwa hiyo kitu siko kabisa, huwa najilipua mara chache sana nikiwa na msongo wa mawazo, inaweza kuwa hata maramoja kwa miezi sita au kwa mwaka
 
Wapole machoni ila ni wagumu sana mioyoni... Ni marafiki wazuri sana...
 
Back
Top Bottom