Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

p-jpg.480083
 
Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako unalizungumziaje jina la MIRIAM aka MIRI?
Hahaaa haaaha
 
Miriam Alikua Chizi Mapenzi. Nilimgongea Kwao Wakati Mdogo Wake Wa Kiume Na Dada Wa Kazi Wanaangalia Bongo Movie!
Ila Msigeneralize...
 
Miriam Alikua Chizi Mapenzi. Nilimgongea Kwao Wakati Mdogo Wake Wa Kiume Na Dada Wa Kazi Wanaangalia Bongo Movie!
Ila Msigeneralize...
Ulikosa ya gesti? [emoji276] [emoji276] [emoji276]
 
Mirii, Mariamuu = Arusha

Marii = Moshi

Marium = Ushuani

Ni wazuri wazuri kwakweli
 
Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako unalizungumziaje jina la MIRIAM aka MIRI?
Sijakuelewa....Upo hapa Kwa udhamini wa twaweza au?

Anyway,Girlfriend wangu anaitwa Miriam
 
Miriam,ni warembo sana,wana mvuto,wapo bright,wana maisha ya kati na juu.Wanapenda maisha ya juu na anasa,atafanya lolote awe wa maisha ya juu au walau afananie na watu wa juu.Anapenda marafiki wamnyenyekee,anapenda familia yake
 
Back
Top Bottom