Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
As a tittle said...ni nani unaemchukia katika hili jukwaa yan ambae hata ukiona comment yake unahis kukerekwa,me binafsi namchukia huyu anajiita [HASHTAG]#Ummesh[/HASHTAG] hata sijui kwann but nmetokea tu kukereka nae.