unamchukia nani katika hili jukwaa??

unamchukia nani katika hili jukwaa??

Frankly speaking Kuna watu fudenge sasahivi nawachukiaaa Yani nawachukiaaa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji30] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]


Cc Smart911
Mahondaw to be honest naipenda mno avatar yako
 
We unachukia ID lakni sio mtu. Utamchukiaje mtu hata humjui wala hujawahi kumuona
 
Frankly speaking Kuna watu fudenge sasahivi nawachukiaaa Yani nawachukiaaa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji30] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]


Cc Smart911

Mate nadhani sipo kwenye list
Bora wote wanichukie ila sio wewe na kama nipo leo naacha jf
 
Huuuuuuhhhhmmmmm

Haya tusherekee christmas

kwa ruhusa ya Smart911 naomba ukaribie hapa ule nyama choma na ndafu choma saizi yako
Nashukuru sana mate sema nimevimbiwa hatariiiiiii Smart911 kanilisha mno mno leo labda unisaidie magnesium [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Namshukuru mungu huwa siwekezi chuki kwny moyo wangu,mm mtu akiniudhi huwa nampotezea tu.

Humu kuna watu wawili walishaniambia hawanipendi halafu hata sijui nmefanya nn
 
Mate kunywa pepsi au coca badala ya Magnesium

Alafu uache uloho Mate naomba kitimoto maana huku zimeisha
Mate wewe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Smart911 asikusikie! Haramu yakheee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nmeandika kwa nia njema tu mkuu,sina nia yoyote ovu.

Sigmund Fred alisshasema 'kitu unachokipenda inamaanisha ni dhana uliyokuwa unaitamani' yaani maana yake tunapenda vitu kwa sababu kuna being zetu tunavipenda

Ila anyway huyu mdada ni mrembo haswa ukimuona unaweza ishiwa pozi
 
Mate wewe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Smart911 asikusikie! Haramu hio [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Samahani unisamehe sikuwa najua

usiku mwema nisiharibu siku
 
Back
Top Bottom