Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Nimewachukia wote mliokula pilau bila hata kusema karibu ya uongo na kweli.Msamaha wenu ntatoa kesho asubuhi.As a tittle said...ni nani unaemchukia katika hili jukwaa yan ambae hata ukiona comment yake unahis kukerekwa,me binafsi namchukia huyu anajiita [HASHTAG]#Ummesh[/HASHTAG] hata sijui kwann but nmetokea tu kukereka nae.
Ahahah..sawaKumchukia mtu bila sababu ilo nitatizo kubwa sana...angalia usije ukafila mahali ukajichukia mwenyewe !!.
Ahahahah...hvohvo yan kikubwa point imeeleekaAs a tittle said, noma Sana
Mwenyewe nimejishangaa hata cjapata jibu yaan mtu simfahamu ila namchukia tu sijui nn hiki shoga angu ila i hate himAaah,shostiiii unamchukiaje MTU bila kumfahamu na pengine hajakufanyia jambo lolote baya eti??? Mm binafsi humu hakuna nimchukiae, labda tuu changamoto za hapa na pale ambazo zinavumilika na kusahaulika suddenly,. Hahahaa usingo usikufanye hivyo bhanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukachukia watu hovyo hovyo utapata ulcers buureee halafu utatengeneza chuki tuu humu zisizo na msingi wala nn,..
Njoo tufurahi pamoja maeneo acha vichuki chuki,sawa mrembo???
Merry Christmas[emoji307]
Njoo tunywe balimi bhana,..Mwenyewe nimejishangaa hata cjapata jibu yaan mtu simfahamu ila namchukia tu sijui nn hiki shoga angu ila i hate him
Dooohhhhh mambo hayooooNjoo tunywe balimi bhana,..
Hahaahah my Putin, mambooooo Heri ya sikukuu my my...Dooohhhhh mambo hayoooo
My mumu ..mambo yangu yako poaaaa km yalivyo kwako.Hahaahah my Putin, mambooooo Heri ya sikukuu my my...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ohooooo mbona unatuzeeshea mtt wetu bwanaa,.pasaka tena???[emoji125] [emoji125] [emoji125]My mumu ..mambo yangu yako poaaaa km yalivyo kwako.
Heri yapasakaaaa !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]