Unamchukiliaje mwanaume asiye na ndevu wala sharubu.?

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Habari zenu wana janvi?.
Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?.

Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno.
Nahsi mtoto wa kiume uso ukiwa msafi sana(bila ya ndevu) hii inakuwa imekaa vibaya..

#ni mtazamo tu.
 
namchukulia kama MWANAUME asie na ndevu wala sharubu!
 
Back
Top Bottom