Unamchukiliaje mwanaume asiye na ndevu wala sharubu.?

Unamchukiliaje mwanaume asiye na ndevu wala sharubu.?

Hivi askari/mwanajashe anaruhusiwa kuwa na ndevu?
 
Yah ndevu muhimu kuwa nazo tena kuziachia kidogo unless kama huna hapo sawa, ila sio kunyoa zoote kwa wenye nazo.
 
Ok pia ukiwa chef huruhusiwi kuwa na mindevu ndevu, kwahio usishangae sana kuona mtu hana ndevu labda ajira inamalzamisha.

japo sharubu basi. sio dume zima unaacha uso nyororo km dada yko bhna
 
Ukiwa na ndevu halafu mashine kibamia tena kisicho na nguvu na asiye nandevu na mashine ya haja nguvu tele kipi bora...... Kwa mwanaume mengine yoote chai manhood iko down.. ww igome kudinda mwezi mzima uone kama hutakufa kwa msongo wa mawazo.
 
d19e755502c4203fe9aa6ed7446c73b7.jpg


masharubu raha
 
Mpaka umeona zimeota kwako na kwa mwingine wa kiume au wa kike hazipo jua/tambua zina umuhimu wake.

Mwanaume mwenye nywele-kichwani, ndevu, sharubu na nywele sehemu zingine mashavuni, makwapani, sehemu za siri na hata miguuni, mikononi na kifuani ni Mwanaume kamili na huchukuliwa/kuonwa kama aliyekamilika zaidi akilinganishwa na wengine.

Ndevu ni Sunna, Mwanaume sharti uwe nazo hata kama kidogo.

Haijalishi upo wapi na katika hali gani, Ndevu ni muhimu hasa zenye matunzo.

Mwanamke na Ndevu kuna kauhusiano flani hivi kama ilivyo kwa Mwanaume na Maumbo ya Mwanamke.

Ndevu ni Heshima.
Ndevu ni Kazi
Ndevu ni Uanaume
Ndevu ni Ubaba
Ndevu ni Urijali
Ndevu ni Nguvu
Ndevu ni Mvuto
Ndevu ni ....kilakitu hasa kwetu wanandoa na wenye familia zetu.

Ukibisha kaguoogle.
 
Mwanaume anajulikana kitandani unaweza ukawa na midevu kitandani unabong'oreshwa

Ni mtazamo
 
Wengine huwachukulia kama wanaume wasio na msisimko ndiyo sababu huchapiwa.
 
Huyo atakua mwanajeshi ndo awanaga ndevu kabisa
 
Back
Top Bottom