Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Wewe hapo juu umeniovertake saa ngapi?Mwanaume mashine ndevu hata kuku wanazo.
Kuna vitu hata visipokaa sawa inabidi muhusika akubaliane na hali yake
Mfano mwanaume asiye na ndevu...hawezi kuforce ziote
Ndiyo yupoHivi kuna mtu hana vooz?
Mkuu,hili swali umekosea A.K.A umenionea kuniuliza mimi...kwamba mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyeti za watu ama?Hivi kuna mtu hana vooz?
Ndiyo yupo
Mkuu,hili swali umekosea A.K.A umenionea kuniuliza mimi...kwamba mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyeti za watu ama?
Deh
Mujibu tu kwa unavyofikiria kuwa wapo/yupo au hamna.Mkuu,hili swali umekosea A.K.A umenionea kuniuliza mimi...kwamba mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyeti za watu ama?
Hata sifahamu kama kila mtu analo aseeHpn mkuu nimetokea tu kuanzia kwako
Hata sifahamu kama kila mtu analo asee
namchukulia kama MWANAUME asie na ndevu wala sharubu!Habari zenu wana janvi?.
Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?.
Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno.
Nahsi mtoto wa kiume uso ukiwa msafi sana(bila ya ndevu) hii inakuwa imekaa vibaya..
#ni mtazamo tu.
Hata sijuiMujibu tu kwa unavyofikiria kuwa wapo/yupo au hamna.
Muulize joseverest.Wewe hapo juu umeniovertake saa ngapi?