Unamchukiliaje mwanaume asiye na ndevu wala sharubu.?

Nashukuru Mungu kanijaalia sharubu na ndevu kiasi...
 


Binafsi sipendi ndevu kwani sitaki kufananishwa na magaidi wa kiislam.
 
Ukiwa na ndevu hata ukimpokea mamsapu kubembeleza mtoto hawezi kudai nyonyo kwa sababu akipapasa anakutana na biwi la ndevu.Ila kama huna ndevu mtoto atadai ziwa kwa sababu haoni tofauti kati yako na mama yake.
Matumizi ya mihadarati yamewaharibu ndo maana mnjadili upupu humu!!!
 
Uso wa mwanaume rijali kambisa usipokuwa na kimoja kati ya hivyo basi mdomo wake unakuwa kama Asshole [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…