Mpaka umeona zimeota kwako na kwa mwingine wa kiume au wa kike hazipo jua/tambua zina umuhimu wake.
Mwanaume mwenye nywele-kichwani, ndevu, sharubu na nywele sehemu zingine mashavuni, makwapani, sehemu za siri na hata miguuni, mikononi na kifuani ni Mwanaume kamili na huchukuliwa/kuonwa kama aliyekamilika zaidi akilinganishwa na wengine.
Ndevu ni Sunna, Mwanaume sharti uwe nazo hata kama kidogo.
Haijalishi upo wapi na katika hali gani, Ndevu ni muhimu hasa zenye matunzo.
Mwanamke na Ndevu kuna kauhusiano flani hivi kama ilivyo kwa Mwanaume na Maumbo ya Mwanamke.
Ndevu ni Heshima.
Ndevu ni Kazi
Ndevu ni Uanaume
Ndevu ni Ubaba
Ndevu ni Urijali
Ndevu ni Nguvu
Ndevu ni Mvuto
Ndevu ni ....kilakitu hasa kwetu wanandoa na wenye familia zetu.
Ukibisha kaguoogle.