kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima.
Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza akaniambia ametoka kidogo . Ikabidi nimuulize , umeenda kufanya nini huko ulipoenda . Akanijibu kuna shida imenileta Ila haikuhusu na sitaki uijue.
Daaaahh kiukweli imeniuma , nimeona kama labda jambo flani baya hivi.
Kwa upande wako unamchukuliaje mtu wa namna hasa akiwa ni mpenzi wako?