kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Haha!Mimi huku simu tangu juzi simu ilkuwa haipokelewi leo asubuhi ndo nimeambiwa samahani ilkuwa chaji,
Kimoyomoyo nimejisemea kwamba ananitania lakini bado ananipenda
hata wew huenda anakutania tu usipanik si unajua utani nao kipaji