unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
5,987
Reaction score
6,682
salute comrades [emoji1536],

kama mada tajwa hapo juu baadhi ya watu wamekuwa na mitazamo tofauti juu
ya watu walio na dread kichwani au marasta kwa lugha nyingine…vijana wengi now days wameifanya hali hii kama lifestyle. kwa mtizamo wako aina hii ya hairstyle unaichukulia vp hasa ukionana ama kukutana na mtu wa aina hii????
 
Namuona kama mtu asiye na urafiki na chanuo...hivyo kaamua kuweka nywele hivyo
Kuchana nywele ni another underrated talent kwa kweli, japo mie sifagilii dreads zile kama kichaa. [emoji2][emoji2]
 
Kuchana nywele ni another underrated talent kwa kweli, japo mie sifagilii dreads zile kama kichaa. [emoji2][emoji2]

Au wewe unatupia wigi 2.0...😁😁
 
1. Kwanini umeweka picha za hao island boys? Hizo zao si hata locs, in madude tu kichwani.

2. Watu Wenye locs tuna tabia tofauti tofauti. Wahuni wastaarabu, wote wamo.
Nywele hazitupi uniformity yoyote kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…