Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari.
Binafsi mdada akivaa wigi namshusha viwango. Sometimes nafika mbali, namuona kama mtu asiyejiamini, asiyejielewa na mwenye tatizo.
Vitu artificial viko vingi ila kwa mawigi hapo mmezidi.