Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

Wengine swag. Dunia inaenda kasi sana. Ukute zaman waafrika walikuwa wanaulizana, unamchukuliaje mtu aliyewaiga wazungu akaanza vaa suruali! [emoji23]
Mzee wewe hereni vipi unavaa?
 
mzee wewe hereni vipi unavaa?
Mimi sina swag zozote,mimi mshamba mshamba tu. Hereni sivai, nywele uwa nanyoa zinalingana, uwa suruali navaaga cardet tu hata sivai jeans,
Sina swag za watoto wa mjini mkuu
 
Wewe umewahi kuvaa?
 
Mimi sina swag zozote,mimi msamba mshamba tu. Hereni sivai, nywele uwa nanyoa zinalingana, uwa suruali navaaga cardet tu hata sivai jeans,
Sina swag za watoto wa mjini mkuu
Kwanini huna swags mzee?
 
Tena leo nimekutana na kijana wa kizungu wmevaa hivyo,perception iliyonijia kichwani kuwa ni Shoga.
 
kwanini huna swags mzee?
Basi tu kuna fashen zimenipta kishoto tu. Jeans nliacha kuvaa kwasababu ya ufuaj nikajkuta suruali zangu ni cardet ndo mpaka leo nina mwaka wa sita sijawah vaa jeans.
 
That is to say, you care.
Everyone has their own preference when choosing a partner, Mailman.

Choosing not to date someone doesn't always mean you don't like the way that they live their lives. It's just a preference.
 
Everyone has their own preference when choosing a partner, Mailman.

Choosing not to date someone doesn't always mean you don't like the way that they live their lives. It's just a preference.

Thanks for an elaborate answer.

Another qn: suppose you have a son, he comes to you for an advise, would you let him do that?
 
You see, we are getting to the same results, you care.

Because if you don't, you would just let him do what it pleases him.
๐“˜ ๐“ป๐“ฎ๐“ช๐“ต๐“ต๐”‚ ๐“ญ๐“ธ๐“ท'๐“ฝ ๐“ฌ๐“ช๐“ป๐“ฎ.
Anyway, I really enjoyed the conversation with you.
 
Nah,
As I said in another comment, I have no issues with them but I just don't find them attractive.
You never find them attractive wow๐Ÿคฉ that means the act of drilling ears and putting on earings kind of annoys you because of so many reasons in hand one of them being immoral act!
 
๐“˜ ๐“ป๐“ฎ๐“ช๐“ต๐“ต๐”‚ ๐“ญ๐“ธ๐“ท'๐“ฝ ๐“ฌ๐“ช๐“ป๐“ฎ.
Anyway, I really enjoyed the conversation with you.

Thanks, same to me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ