Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mbwa wanatofautiana, huwezi fananisha mbwa wako na Manunu.Mbwa ni mbwa tu
Mbwa wanatofautiana, huwezi fananisha mbwa wako na Manunu.
Hao ni wazuri kwa uwindaji na uchungaji mifugoHuyu mbwa maarufu kama Basenji(Mshenzi) ni mbwa mwenye asili ya africa ya kati. Wazungu walipomuona kwa mara ya kwanza walisema ni mbwa wa wenyeji na wenyeji waliitwa washenzi ni mbwa ambaye habweki, anatoa tu sauti tofauti. nyingine ni ile analia kama king'ora usiku. wabongo wanasema huwa analia vile sababu ya kuona wachawi (waamini uchawi wapumbavu sana).
Utamtambua Basenji kwa masikio yalichongoka, mkia uliojikunja kama wa mbuzi na kutobweka. Mbwa safi sana.