Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huyu mbwa maarufu kama Basenji(Mshenzi) ni mbwa mwenye asili ya africa ya kati. Wazungu walipomuona kwa mara ya kwanza walisema ni mbwa wa wenyeji na wenyeji waliitwa washenzi ni mbwa ambaye habweki, anatoa tu sauti tofauti. nyingine ni ile analia kama king'ora usiku. wabongo wanasema huwa analia vile sababu ya kuona wachawi (waamini uchawi wapumbavu sana).
Utamtambua Basenji kwa masikio yalichongoka, mkia uliojikunja kama wa mbuzi na kutobweka. Mbwa safi sana.
Utamtambua Basenji kwa masikio yalichongoka, mkia uliojikunja kama wa mbuzi na kutobweka. Mbwa safi sana.