Unamfahamuje mrembo huyu?

Unamfahamuje mrembo huyu?

wamtaka wanini? unaacha kuwatafuta nduguzo waliopelekwa manamba kule tanga, we unatafuta wake za watu!
 
Si ndio huyu nasikia ana kesi za kuiba mabwana wa watu huko holland? Eti pia anajiuza ...
 
Me out of topic na mm namuulizia wajina wako Naki a.k.a Nakadori Kassim alikuwa anaigiza mambo hayo na kuna tangazo la salama condom alifanya wale unique sisters enzi zile sijui naye yuko wapi.
 
Me out of topic na mm namuulizia wajina wako Naki a.k.a Nakadori Kassim alikuwa anaigiza mambo hayo na kuna tangazo la salama condom alifanya wale unique sisters enzi zile sijui naye yuko wapi.

Hujambo ww!
 
Back
Top Bottom