Unamfahamuje wife material?

Shukrani mkuu nazani dada zetu watajifunza kupita mchango wako hili wawe wake bora
 
-Hanywi savana anakunywa soda..ukishaona dem anakunywa savana vaa ndom

-Havai nguo fup hata sku1

Anaenda kanisan

-Hanukii manukato manukato mda wote..ana haruf ya asil

-Ana aibu

-msafi na ana pu..ssy safi

-kabat lake halikos nguo ya kitenge piga ua
 
Zingine zilipendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wife material is Raw Material for making family kwa hiyo pointi ni zile zile unazitwist kidogo tu, utapata majibu yako 😁
Vice verse is true nimekuelewa sana kiongozi sometimes uhitaji ku complain vitu😁😁😁😁
 
Awe nazo ila ziwe za wastani, hususani linspokuja swala zima la kupangilia bajeti kwenye hela ndogo
Ndio mkuu wanawake wengi wanakosa hizi akili ndo maana changamoto nyingi za mahusiano aziishi nimekuelewa mkuu
 
Wakati huo namba 10,17 zikipewa kipaumbele
 
dada zetu hawa wanakila sababu ya kubadilika nimekupata mkuu hili kasumba ya kuto kuolewa ipungue
 
Umeandika vyema sana mkuu.
 
Eeeh Mungu ona HUYU[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…