Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Wife material is Raw Material for making family kwa hiyo pointi ni zile zile unazitwist kidogo tu, utapata majibu yako ๐mkuu upo serious kweli๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wife material is Raw Material for making family kwa hiyo pointi ni zile zile unazitwist kidogo tu, utapata majibu yako ๐mkuu upo serious kweli๐๐๐๐
Shukrani mkuu nazani dada zetu watajifunza kupita mchango wako hili wawe wake bora1) Kamwe usinyanyue sauti yako kwa mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara kuwa huna adabu na heshima. Pia niliwahi kufundisha hapa Ndoa Maridhawa kuwa radi haioteshi mazao yetu shambani licha ya kuwa na kelele na sauti kubwa, lakini mvua ambayo haina makelele huotesha mazao yetu shambani.
2) Usitangaze udhaifu wa mumeo kwa familia yako na marafiki zako. Linaweza kukuathiri wewe pia. Wewe ni mtunza siri wa mwenzako, na yeye ni mtunza siri wako.
3) Usitumie mihemko na hisia kali kuwasiliana na mumeo, hujui namna atakavyoitafsiri. Wanawake wenye mihemko iliyopitiliza hawawezi kuwa na ndoa yenye furaha.
4) Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui undani wa maisha ya hao wengine. Ukiishambulia HADHI yake, upendo wake kwako utayeyuka.
5) Usiamiliane vibaya na marafiki wa mumeo kwa sababu tu huwapendi, mtu anayepaswa kuepukana nao ni mumeo.
6) Usisahay kuwa mumeo alikuoa wewe, hakumuoa huyo mfanyakazi wako wa ndani au mtu mwingine. Fanya kutekeleza majukumu yako.
7). Usimpe mtu mwingine jukumu la kumhudumia mumeo. Watu wengine wanaweza kufanya mambo mengine, lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.
8). Usimshutumu na kumlaumu mumeo akija nyumbani bila kitu. Badala yake mpe hamasa na kumshajiisha.
9). Usiwe mke mbadhirifu, jasho la mumeo ni kitu ghali kabisa ambacho hakipaswi kutupwa hovyo.
10). Usijifanye kuwa unaumwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Mpe anapotaka. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ni miongoni mwa MAHITAJI MAKUU 3 YA MWANAUME. Ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajachukua jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kuhimili vishindo vya ukame
11). Usimjibu mumeo katika uchangiaji wa maoni ya mbele ya umma, muaje ajibu swali lililoelekeza kwake. Ni muhimu usimpinge hadharani mbele ya watu.
12). Usimfokee au kumpinga mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye hekma na busara hawafanyi hivyo.
13). Usishau kuangalia kama mumeo amependeza na amevaa vizuri kabla hajatoka.
14). Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.
15). Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na unapojipamba. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao hutumia muda wa kutosha kujipamba.
16).Wazazi, ndugu an marafiki hawana uamuzi wa mwisho kwenye ndoa yako. Usipoteze muda kuwataka wakupe uamuzi wa mwisho.
17). Usijenge upendo wako kwenye pesa na vitu. Kwa sababu ukiwa na pesa nyingi kumzidi hutoweza kumtii na kumheshimu.
18). Usisahau kuwa mumeo anahitaji mtu wa kumakinika naye na mwenye kumsikiliza, usiwe bize sana kiasi cha kutomtilia maanani. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa kila nyumba yenye furaha.
19). Kama wazo lako limefanya vizuri kuliko la kwake, usifanye ulinganisho wa kujilinganisha naye. Daima mnatakiwa kufanya kazi kama timu.
20). Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayempenda mwanamke msumbufu.
21). Mke mvivu huwa na tabia ya kupuuza. Hata hajui kuwa mwili wake unahitaji maji ya kuoga.
22). Je, mume anapenda aina ya chakula unachopika? Jaribu kubadilisha mapishi. Hakuna mwanaume anayefanya mzaha kwenye suala la chakula.
23). Usiwe mtaka makuu kwa mumeo, furahia kila muda na kila kinachopatikana.
24). Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho nambari 1 kwa mumeo na kila mgeni anayekuja nyumbani kwenu. Mwenendo mzuri ndio urembo wa kweli.
25). Usisuhubiane na wanawake ambao wana mtazamo wa kimakosa kuhusu ndoa.
26). Ndoa yako itakuwa na thamani kadiri unavyoipa thamani. Uzembe haukubaliki.
27). Watoto wako ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu, wapende na uwape malezi mazuri.
28). Endelea kutengeneza ushawishi wako ndani ya nyumba yako hata kama una muda mrefu katika ndoa. Usipunguze mapenzi yako kwa familia yako kwa sababu yoyote ile.
30). Mke anayefanya ibada anakuwa amejiimarisha vizuri. Daima muombee mumeo na familia yenu.
Awe nazo ila ziwe za wastani, hususani linspokuja swala zima la kupangilia bajeti kwenye hela ndogoAkili ndo kila kitu๐ค
Zingine zilipendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1) Kamwe usinyanyue sauti yako kwa mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara kuwa huna adabu na heshima. Pia niliwahi kufundisha hapa Ndoa Maridhawa kuwa radi haioteshi mazao yetu shambani licha ya kuwa na kelele na sauti kubwa, lakini mvua ambayo haina makelele huotesha mazao yetu shambani.
2) Usitangaze udhaifu wa mumeo kwa familia yako na marafiki zako. Linaweza kukuathiri wewe pia. Wewe ni mtunza siri wa mwenzako, na yeye ni mtunza siri wako.
3) Usitumie mihemko na hisia kali kuwasiliana na mumeo, hujui namna atakavyoitafsiri. Wanawake wenye mihemko iliyopitiliza hawawezi kuwa na ndoa yenye furaha.
4) Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui undani wa maisha ya hao wengine. Ukiishambulia HADHI yake, upendo wake kwako utayeyuka.
5) Usiamiliane vibaya na marafiki wa mumeo kwa sababu tu huwapendi, mtu anayepaswa kuepukana nao ni mumeo.
6) Usisahay kuwa mumeo alikuoa wewe, hakumuoa huyo mfanyakazi wako wa ndani au mtu mwingine. Fanya kutekeleza majukumu yako.
7). Usimpe mtu mwingine jukumu la kumhudumia mumeo. Watu wengine wanaweza kufanya mambo mengine, lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.
8). Usimshutumu na kumlaumu mumeo akija nyumbani bila kitu. Badala yake mpe hamasa na kumshajiisha.
9). Usiwe mke mbadhirifu, jasho la mumeo ni kitu ghali kabisa ambacho hakipaswi kutupwa hovyo.
10). Usijifanye kuwa unaumwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Mpe anapotaka. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ni miongoni mwa MAHITAJI MAKUU 3 YA MWANAUME. Ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajachukua jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kuhimili vishindo vya ukame
11). Usimjibu mumeo katika uchangiaji wa maoni ya mbele ya umma, muaje ajibu swali lililoelekeza kwake. Ni muhimu usimpinge hadharani mbele ya watu.
12). Usimfokee au kumpinga mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye hekma na busara hawafanyi hivyo.
13). Usishau kuangalia kama mumeo amependeza na amevaa vizuri kabla hajatoka.
14). Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.
15). Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na unapojipamba. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao hutumia muda wa kutosha kujipamba.
16).Wazazi, ndugu an marafiki hawana uamuzi wa mwisho kwenye ndoa yako. Usipoteze muda kuwataka wakupe uamuzi wa mwisho.
17). Usijenge upendo wako kwenye pesa na vitu. Kwa sababu ukiwa na pesa nyingi kumzidi hutoweza kumtii na kumheshimu.
18). Usisahau kuwa mumeo anahitaji mtu wa kumakinika naye na mwenye kumsikiliza, usiwe bize sana kiasi cha kutomtilia maanani. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa kila nyumba yenye furaha.
19). Kama wazo lako limefanya vizuri kuliko la kwake, usifanye ulinganisho wa kujilinganisha naye. Daima mnatakiwa kufanya kazi kama timu.
20). Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayempenda mwanamke msumbufu.
21). Mke mvivu huwa na tabia ya kupuuza. Hata hajui kuwa mwili wake unahitaji maji ya kuoga.
22). Je, mume anapenda aina ya chakula unachopika? Jaribu kubadilisha mapishi. Hakuna mwanaume anayefanya mzaha kwenye suala la chakula.
23). Usiwe mtaka makuu kwa mumeo, furahia kila muda na kila kinachopatikana.
24). Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho nambari 1 kwa mumeo na kila mgeni anayekuja nyumbani kwenu. Mwenendo mzuri ndio urembo wa kweli.
25). Usisuhubiane na wanawake ambao wana mtazamo wa kimakosa kuhusu ndoa.
26). Ndoa yako itakuwa na thamani kadiri unavyoipa thamani. Uzembe haukubaliki.
27). Watoto wako ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu, wapende na uwape malezi mazuri.
28). Endelea kutengeneza ushawishi wako ndani ya nyumba yako hata kama una muda mrefu katika ndoa. Usipunguze mapenzi yako kwa familia yako kwa sababu yoyote ile.
30). Mke anayefanya ibada anakuwa amejiimarisha vizuri. Daima muombee mumeo na familia yenu.
Vice verse is true nimekuelewa sana kiongozi sometimes uhitaji ku complain vitu๐๐๐๐Wife material is Raw Material for making family kwa hiyo pointi ni zile zile unazitwist kidogo tu, utapata majibu yako ๐
Ndio mkuu wanawake wengi wanakosa hizi akili ndo maana changamoto nyingi za mahusiano aziishi nimekuelewa mkuuAwe nazo ila ziwe za wastani, hususani linspokuja swala zima la kupangilia bajeti kwenye hela ndogo
Umeolewa?Zingine zilipendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati huo namba 10,17 zikipewa kipaumbele1. Kamwe usinyanyue sauti yako kwa mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara kuwa huna adabu na heshima. Pia niliwahi kufundisha hapa Ndoa Maridhawa kuwa radi haioteshi mazao yetu shambani licha ya kuwa na kelele na sauti kubwa, lakini mvua ambayo haina makelele huotesha mazao yetu shambani.
2. Usitangaze udhaifu wa mumeo kwa familia yako na marafiki zako. Linaweza kukuathiri wewe pia. Wewe ni mtunza siri wa mwenzako, na yeye ni mtunza siri wako.
3. Usitumie mihemko na hisia kali kuwasiliana na mumeo, hujui namna atakavyoitafsiri. Wanawake wenye mihemko iliyopitiliza hawawezi kuwa na ndoa yenye furaha.
4. Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui undani wa maisha ya hao wengine. Ukiishambulia HADHI yake, upendo wake kwako utayeyuka.
5. Usiamiliane vibaya na marafiki wa mumeo kwa sababu tu huwapendi, mtu anayepaswa kuepukana nao ni mumeo.
6. Usisahay kuwa mumeo alikuoa wewe, hakumuoa huyo mfanyakazi wako wa ndani au mtu mwingine. Fanya kutekeleza majukumu yako.
7. Usimpe mtu mwingine jukumu la kumhudumia mumeo. Watu wengine wanaweza kufanya mambo mengine, lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.
8. Usimshutumu na kumlaumu mumeo akija nyumbani bila kitu. Badala yake mpe hamasa na kumshajiisha.
9. Usiwe mke mbadhirifu, jasho la mumeo ni kitu ghali kabisa ambacho hakipaswi kutupwa hovyo.
10. Usijifanye kuwa unaumwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Mpe anapotaka. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ni miongoni mwa MAHITAJI MAKUU 3 YA MWANAUME. Ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajachukua jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kuhimili vishindo vya ukame.
11. Usimjibu mumeo katika uchangiaji wa maoni ya mbele ya umma, muaje ajibu swali lililoelekeza kwake. Ni muhimu usimpinge hadharani mbele ya watu.
12. Usimfokee au kumpinga mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye hekma na busara hawafanyi hivyo.
13. Usishau kuangalia kama mumeo amependeza na amevaa vizuri kabla hajatoka.
14. Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.
15. Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na unapojipamba. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao hutumia muda wa kutosha kujipamba.
16. Wazazi, ndugu an marafiki hawana uamuzi wa mwisho kwenye ndoa yako. Usipoteze muda kuwataka wakupe uamuzi wa mwisho.
17. Usijenge upendo wako kwenye pesa na vitu. Kwa sababu ukiwa na pesa nyingi kumzidi hutoweza kumtii na kumheshimu.
18. Usisahau kuwa mumeo anahitaji mtu wa kumakinika naye na mwenye kumsikiliza, usiwe bize sana kiasi cha kutomtilia maanani. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa kila nyumba yenye furaha.
19. Kama wazo lako limefanya vizuri kuliko la kwake, usifanye ulinganisho wa kujilinganisha naye. Daima mnatakiwa kufanya kazi kama timu.
20. Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayempenda mwanamke msumbufu.
21. Mke mvivu huwa na tabia ya kupuuza. Hata hajui kuwa mwili wake unahitaji maji ya kuoga.
22. Je, mume anapenda aina ya chakula unachopika? Jaribu kubadilisha mapishi. Hakuna mwanaume anayefanya mzaha kwenye suala la chakula.
23. Usiwe mtaka makuu kwa mumeo, furahia kila muda na kila kinachopatikana.
24. Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho nambari 1 kwa mumeo na kila mgeni anayekuja nyumbani kwenu. Mwenendo mzuri ndio urembo wa kweli.
25. Usisuhubiane na wanawake ambao wana mtazamo wa kimakosa kuhusu ndoa.
26. Ndoa yako itakuwa na thamani kadiri unavyoipa thamani. Uzembe haukubaliki.
27. Watoto wako ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu, wapende na uwape malezi mazuri.
28. Endelea kutengeneza ushawishi wako ndani ya nyumba yako hata kama una muda mrefu katika ndoa. Usipunguze mapenzi yako kwa familia yako kwa sababu yoyote ile.
30. Mke anayefanya ibada anakuwa amejiimarisha vizuri. Daima muombee mumeo na familia yenu.
dada zetu hawa wanakila sababu ya kubadilika nimekupata mkuu hili kasumba ya kuto kuolewa ipungue-Hanywi savana anakunywa soda..ukishaona dem anakunywa savana vaa ndom
-Havai nguo fup hata sku1
Anaenda kanisan
-Hanukii manukato manukato mda wote..ana haruf ya asil
-Ana aibu
-msafi na ana pu..ssy safi
-kabat lake halikos nguo ya kitenge piga ua
Haombi ela๐Habari wanabodi wa MMU hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material.
mbona hii ndo point inayojirudia nazani kuna shida sehemu kwa awa dada zetu๐๐๐๐๐[emoji654]AWE NA AKILI TIMAMU.
MkuuBikra
wapo hao kweli mkuu๐๐๐๐๐Haombi ela๐
Umeandika vyema sana mkuu.1. Kamwe usinyanyue sauti yako kwa mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara kuwa huna adabu na heshima. Pia niliwahi kufundisha hapa Ndoa Maridhawa kuwa radi haioteshi mazao yetu shambani licha ya kuwa na kelele na sauti kubwa, lakini mvua ambayo haina makelele huotesha mazao yetu shambani.
2. Usitangaze udhaifu wa mumeo kwa familia yako na marafiki zako. Linaweza kukuathiri wewe pia. Wewe ni mtunza siri wa mwenzako, na yeye ni mtunza siri wako.
3. Usitumie mihemko na hisia kali kuwasiliana na mumeo, hujui namna atakavyoitafsiri. Wanawake wenye mihemko iliyopitiliza hawawezi kuwa na ndoa yenye furaha.
4. Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui undani wa maisha ya hao wengine. Ukiishambulia HADHI yake, upendo wake kwako utayeyuka.
5. Usiamiliane vibaya na marafiki wa mumeo kwa sababu tu huwapendi, mtu anayepaswa kuepukana nao ni mumeo.
6. Usisahay kuwa mumeo alikuoa wewe, hakumuoa huyo mfanyakazi wako wa ndani au mtu mwingine. Fanya kutekeleza majukumu yako.
7. Usimpe mtu mwingine jukumu la kumhudumia mumeo. Watu wengine wanaweza kufanya mambo mengine, lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.
8. Usimshutumu na kumlaumu mumeo akija nyumbani bila kitu. Badala yake mpe hamasa na kumshajiisha.
9. Usiwe mke mbadhirifu, jasho la mumeo ni kitu ghali kabisa ambacho hakipaswi kutupwa hovyo.
10. Usijifanye kuwa unaumwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Mpe anapotaka. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ni miongoni mwa MAHITAJI MAKUU 3 YA MWANAUME. Ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajachukua jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kuhimili vishindo vya ukame.
11. Usimjibu mumeo katika uchangiaji wa maoni ya mbele ya umma, muaje ajibu swali lililoelekeza kwake. Ni muhimu usimpinge hadharani mbele ya watu.
12. Usimfokee au kumpinga mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye hekma na busara hawafanyi hivyo.
13. Usishau kuangalia kama mumeo amependeza na amevaa vizuri kabla hajatoka.
14. Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.
15. Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na unapojipamba. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao hutumia muda wa kutosha kujipamba.
16. Wazazi, ndugu an marafiki hawana uamuzi wa mwisho kwenye ndoa yako. Usipoteze muda kuwataka wakupe uamuzi wa mwisho.
17. Usijenge upendo wako kwenye pesa na vitu. Kwa sababu ukiwa na pesa nyingi kumzidi hutoweza kumtii na kumheshimu.
18. Usisahau kuwa mumeo anahitaji mtu wa kumakinika naye na mwenye kumsikiliza, usiwe bize sana kiasi cha kutomtilia maanani. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa kila nyumba yenye furaha.
19. Kama wazo lako limefanya vizuri kuliko la kwake, usifanye ulinganisho wa kujilinganisha naye. Daima mnatakiwa kufanya kazi kama timu.
20. Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayempenda mwanamke msumbufu.
21. Mke mvivu huwa na tabia ya kupuuza. Hata hajui kuwa mwili wake unahitaji maji ya kuoga.
22. Je, mume anapenda aina ya chakula unachopika? Jaribu kubadilisha mapishi. Hakuna mwanaume anayefanya mzaha kwenye suala la chakula.
23. Usiwe mtaka makuu kwa mumeo, furahia kila muda na kila kinachopatikana.
24. Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho nambari 1 kwa mumeo na kila mgeni anayekuja nyumbani kwenu. Mwenendo mzuri ndio urembo wa kweli.
25. Usisuhubiane na wanawake ambao wana mtazamo wa kimakosa kuhusu ndoa.
26. Ndoa yako itakuwa na thamani kadiri unavyoipa thamani. Uzembe haukubaliki.
27. Watoto wako ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu, wapende na uwape malezi mazuri.
28. Endelea kutengeneza ushawishi wako ndani ya nyumba yako hata kama una muda mrefu katika ndoa. Usipunguze mapenzi yako kwa familia yako kwa sababu yoyote ile.
30. Mke anayefanya ibada anakuwa amejiimarisha vizuri. Daima muombee mumeo na familia yenu.
How young are you?Cause I'm still young girl
Hata sijuiUmeolewa?
Eeeh Mungu ona HUYU[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]-Hanywi savana anakunywa soda..ukishaona dem anakunywa savana vaa ndom