Hawa watu wa network marketing wanazingua sana na maisha yao ya kuigiza
Eti 'Nina nyumba na gari' [emoji2][emoji2]
Mimi Kuna jamaa Hawa wa AIM GLOBAL alinifuata akaanza kunionehsa zile dawa zao wenyewe wanaita supplements sijui
Sasa Mimi nikawaza ,Sina hata Taaluma ya inayohusiana na udaktari nichukue hiyo midawa yenu nikauzie watu ili iweje
Alafu nikamuulize siku hizi Biashara matangazo ,Kama Ni kweli hizo dawa zenu zinatibu kisukari na magonjwa mengne fanyeni advertisement kwenye media tofauti.
Mpaka na leo yule mchizi hajanitafuta tena
Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk