Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanikumbusha mjomba wangu huwa anasema nipe pesa uone nini nitakosaKwa sasa rafiki mzuri ni pesa tu, vingine tupa kule lasivyo wengi wao hawataki ufanikiwe,, akifeli yeye na ww anataka mfeli wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayo ni aina ya pyramid scheme
Wanapewa sumu mbaya hawahahahaha..wazee wa goodmorning hadi usiku [emoji23][emoji23][emoji23]
vichaa sana wale jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea mkuu,wenyewe haswando hawa mkuu!? View attachment 1368168
Hahaaa hatari sana mkuu, mkononi ana notebook na makabrasha.
Huku akiitwa majina matamu , mentor,tajiri,hahaaa hatari sana mkuu, mkononi ana notebook na makabrasha.
Alifanikiwa lakini kukupiga?Kuna demu nilimmega kwa sababu ya hizo network marketing zao. Aliniconvince nami nikamconvince
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaelewa ulichotaka kunifikishiaAiseee.. We ni mtu wa tatu naona una uandishi flani amaizing
-Ndakwambia
-Ndavuta
[emoji849]
#Out of topic
Alitapeliwa yeye hapo,mliendelea?Hakufanikiwa. Aliishia kuniambia tu “ wewe mjanja sana “