Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Pole sana... mimi wangu si alikuwa anaimba na kwaya kabisa kwa 'church' ... sasa siku alipoanza maulevi yake sikuamini kabisa yaani, niliona double double!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana... mimi wangu si alikuwa anaimba na kwaya kabisa kwa 'church' ... sasa siku alipoanza maulevi yake sikuamini kabisa yaani, niliona double double!
Huyo jamaa mpuuzi na mnafiki yeye hana baya?mtu akienda disco anakua kachenyentwa?ifike mahala wabongo badilikeniSa kwenda disco na kucheza kuna shida gani jamani 😅
Mkuu ukitaka asiyeshiriki hayo kaweke kambi kwenye makanisa ya kiroho huko utawapata wanaovaa magauni ya vitenge wiki nzima. Angalizo: sio wote wanamaanisha kuwepo kule😃😃
Ha haaa kwaya ya wapi hiyo? Wakatoliki pombe ruksa... mimi wangu si alikuwa anaimba na kwaya kabisa kwa 'church' ... sasa siku alipoanza maulevi yake sikuamini kabisa yaani, niliona double double!
Wanakuaga ingia toka sana🥴Ni ma snitch🥲🥲🥲
Kujifanyaga wana busara sasa!kila saa utasomewa risalaWanakuaga ingia toka sana🥴
Ahahahha 😄😄😄😄😄😄Mimi mtu nikiacha kumuheshimu hapo hapo anakuwa msenge no discussion.