Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

Asterisk

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
214
Reaction score
50
Ni nani, wa nchi gani, je ameshatoa single yoyote???

I REAL LIKE HER VOICE ..
 
Ni Enika bilashaka,aliyeimba wimbo wa 'baridi kama hii'
 
ana sauti nzuri sana,inshort anankosha kupita maelezo
 
Sijui kama Mzee King Kiki mtunzi wa ule wimbo aliambulia chochote au ndo anaona fahari wimbo wake kuimbwa!!
 
Sijui kama Mzee King Kiki mtunzi wa ule wimbo aliambulia chochote au ndo anaona fahari wimbo wake kuimbwa!!

Dah, sidhani kwa kweli, but nahisi huyo enika atakua kapata pesa nyingi,,, all in all nam-appriciate yule aliye onekana kwenye video...
 
yule ni misoji kama sijakosea alishinda bongo star search ile ya pili... kuhusu sauti sijathibitisha kama ni ya nani
 
nlckiaga clouds kwenye kpnd cha power breakfast,walixema ni MAUNDA ZORRO,na bit ilgongwa na MAKO CHALI..
Huyo enika katoka wap tena..
 
Hebu tuwekeeni hapa huo wimbo sijui ndio kideo chake tuone sio wote tuna mavideo Nyumbani!
 
Back
Top Bottom