Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

hii ndo JF mkuu... unacheka mwenzio we vp mkuu jina lako hilo mbona wote ni parts za mwili
 
Hebu tuwekeeni hapa huo wimbo sijui ndio kideo chake tuone sio wote tuna mavideo Nyumbani!

Utakua umeshawahi kuusikia huo wimbo hata radion, ni lile la bongo star search, natumia mobile siwezi ku upload but unaweza kuu google, unaanza kama mtu anatoka kwenye nyumba ya udongo na ya makuti then anaimba.
 
wifi yako ni kampuni ya nini?? anaitwa aisha nani ili ni mgoogle kwanza..

Kampuni ya wifi yako wewe inaitwa Glamour Modelling Agency, google jina hili Jenna Haze.
 
Sijaolewa ila nina Mchumba... Kama ulikuwa unawaza kubisha hodi umechelewa ndugu..
neylu, Aliyetaka kujua kama umeolewa sio mimi, lakini pia kumbuka wahenga walisema 'it's never too late'. msalimie mchumba, vipi naye tunaye humu au...?
 
Last edited by a moderator:
neylu, Aliyetaka kujua kama umeolewa sio mimi, lakini pia kumbuka wahenga walisema 'it's never too late'. msalimie mchumba, vipi naye tunaye humu au...?

Usijali Lukansola.. Nimejibu ili na wengine wafahamu.. Huyo Mchumba hayumo humu JF..
 
:wacko:Wana-JF naona tumetoka nje ya mada then tumeshindwa kumpa @ Aterick jibu la swali alilouliza; Kimsingi mdada huyo anaitwa ANTU VERONICA MANDOZA, ni Mtanzania mwenzetu na kazi yake ni modelling, pia ni mwanafunzi wa chuo flani hivi. Hana historia ya kimuziki sana ila anajitahidi kimtindo. Kwa faida ya wengine wote, hebu tuangalia hii clip ya wimbo (tangazo la Epiq BSS) ambalo lilitengenezwa nchini India (it's very interesting!!). Pia mdada huyo pia aliweza kujitambulisha na kueleza machache yaliyo moyoni mwake kuhusiana na mradi huu wa Epiq BSS na tangazo lake hilo. Enjoy Guys!!!!!!:flypig:
:spy:
 
Last edited by a moderator:
Mie namjua vizuri sana anakaa mikocheni na anasoma IJMC,kama upo serious ebu weka nia yako nikuunganishe nae live.
 
Daaaahh huyu dada ameleta shidaee!
kuna mshikaji wangu alinambia akimpate yeye anaoa na kutulia kabisa.
 
Back
Top Bottom