umenyoa?
Hebu tuwekeeni hapa huo wimbo sijui ndio kideo chake tuone sio wote tuna mavideo Nyumbani!
Ni mimi hapa kwani vipi?
Ni mimi hapa kwani vipi?
Thubutu...!
jibu swali, umeolewa?
wifi yako ni kampuni ya nini?? anaitwa aisha nani ili ni mgoogle kwanza..
neylu, Aliyetaka kujua kama umeolewa sio mimi, lakini pia kumbuka wahenga walisema 'it's never too late'. msalimie mchumba, vipi naye tunaye humu au...?Sijaolewa ila nina Mchumba... Kama ulikuwa unawaza kubisha hodi umechelewa ndugu..
Hutaki?? Kama hutaki Andamana.. Ila habari ndio hiyooo..
kidume wewe hacha hizo!
Siku zote Zantel nyimbo za matangazo yao huwa ni nzuri sana, unakumbuka ule wimbo wa epic nation ulivyokua mzuri......