Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Siku zinaenda
DAZ BABA, mmoja kati ya wanaMuziki mahiri kabisa niliowahi kuzisikia sauti zao zikiimba tungo (MUZIKI) kwa ustadi wa hali ya juu
DAZ BABA alikuwa akiiwakilisha DAZ NUNDAZ iliyokuwa na wanaMuziki kama FEROOZ MRISHO (Feruzi), LaRHUMBA, SAJO a.k.a MENTALI n.k
Moja kati ya nyimbo zake mahiri ni wimbo wa 'UMBO NAMBA 8' aliomshirikisha 'NGOSHA ZE DON' FID Q. Pia kuna wimbo wa 'WIFE' alimshirikisha 'MWANA CHEMBER' ALBERT MANGWEAR (CowBama/ Mtoto wa Jakaya)
Baada ya miaka mingi kupita na umri kusonga mbele, DAZ BABA wa sasa huyu hapa 👇