dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
hii ishu ni very serious hapa bongo hata nyakati hizi, hawa vijana tulionao (hasa wana michezo na wasanii) wanaelekea huko huko!Shida wengi wakishazoea mmea wanaona hauna stimu unakuta wanatafuta kitu kikali zaidi,,,,,,,,kuna mzee flani pande za temeke anasema vijana walikua wanakula madawa ili mizuka ipande wakawasugue zaidi madem,,,unakuta mtu alikua akila jani lake anampelekea Joyce moto mwanzo mwisho, baadae jani anaona halimpi stimu tena shoo zinaanza kua za kizembe baadae anamuuliza pusha wake imekuaje, jamaa anamuanzishia dozi kidogo anamchanganyia jani na unga anamwambia jaribu hii, akipiga anaona mzuka umerudi kama wote anaona hapa ndo penyewe, hapo taratibu ameshaanza kutumia unga,kutoka huko sasa ni mbinde kuliko jani........
bahati mbaya kwa sasa wameongoza na mambo ya upinde, vijana wanapigwa pipe kisa umaarufu na pesa, watakapofika 40+ tutakimbiana!,
bahati mbaya upande wa michezo naona hata wadau bado hawajaamua kuwasaudia vijana namna bora ya kuishi na kutengeneza future!