Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hahaha mjumbe hauawiSema tu ulichotaka kusema, hii post imekaa kinafiki, kama hauna subsidiary ya mathematics unaweza usigundue unoko wa mleta siledi
Siku hizi anauwawa mkuu. Tena ni WA kuchinjia nyuma ya shingo kabisaHahaha mjumbe hauawi
Pesa alizopata akiwa na umri mdogo zimeharibu muonekano wake.Siku zinaenda
DAZ BABA, mmoja kati ya wanaMuziki mahiri kabisa niliowahi kuzisikia sauti zao zikiimba tungo (MUZIKI) kwa ustadi wa hali ya juu
DAZ BABA alikuwa akiiwakilisha DAZ NUNDAZ iliyokuwa na wanaMuziki kama FEROOZ MRISHO (Feruzi), LaRHUMBA, SAJO a.k.a MENTALI n.k
Moja kati ya nyimbo zake mahiri ni wimbo wa 'UMBO NAMBA 8' aliomshirikisha 'NGOSHA ZE DON' FID Q. Pia kuna wimbo wa 'WIFE' alimshirikisha 'MWANA CHEMBER' ALBERT MANGWEAR (CowBama/ Mtoto wa Jakaya)
Baada ya miaka mingi kupita na umri kusonga mbele, DAZ BABA wa sasa huyu'apa 👇View attachment 3031857
Mjumbe kawa mkuda😀Siku hizi anauwawa mkuu. Tena ni WA kuchinjia nyuma ya shingo kabisa
Kabisa etiMjumbe kawa mkuda😀
Kinafiki kabisa tena unafiki wa kike huuSema tu ulichotaka kusema, hii post imekaa kinafiki, kama hauna subsidiary ya mathematics unaweza usigundue unoko wa mleta siledi
Tena wa mwanamke msimbeKinafiki kabisa tena unafiki wa kike huu
Shida wengi wakishazoea mmea wanaona hauna stimu unakuta wanatafuta kitu kikali zaidi,,,,,,,,kuna mzee flani pande za temeke anasema vijana walikua wanakula madawa ili mizuka ipande wakawasugue zaidi madem,,,unakuta mtu alikua akila jani lake anampelekea Joyce moto mwanzo mwisho, baadae jani anaona halimpi stimu tena shoo zinaanza kua za kizembe baadae anamuuliza pusha wake imekuaje, jamaa anamuanzishia dozi kidogo anamchanganyia jani na unga anamwambia jaribu hii, akipiga anaona mzuka umerudi kama wote anaona hapa ndo penyewe, hapo taratibu ameshaanza kutumia unga,kutoka huko sasa ni mbinde kuliko jani........Daz baba alikuwa teja kitambo! Bora ule bangi ngada haikuchi salama!
exactly, ukipata pesa lazima u maintain wekeza hata usipofanya mziki pesa inaingia!Pesa alizopata akiwa na umri mdogo zimeharibu muonekano wake.
Naona bado yupo under 50 lakini keshazeeka.
Ulitaka kusemaje mkuu?Siku zinaenda
DAZ BABA, mmoja kati ya wanaMuziki mahiri kabisa niliowahi kuzisikia sauti zao zikiimba tungo (MUZIKI) kwa ustadi wa hali ya juu
DAZ BABA alikuwa akiiwakilisha DAZ NUNDAZ iliyokuwa na wanaMuziki kama FEROOZ MRISHO (Feruzi), LaRHUMBA, SAJO a.k.a MENTALI n.k
Moja kati ya nyimbo zake mahiri ni wimbo wa 'UMBO NAMBA 8' aliomshirikisha 'NGOSHA ZE DON' FID Q. Pia kuna wimbo wa 'WIFE' alimshirikisha 'MWANA CHEMBER' ALBERT MANGWEAR (CowBama/ Mtoto wa Jakaya)
Baada ya miaka mingi kupita na umri kusonga mbele, DAZ BABA wa sasa huyu hapa 👇
View attachment 3031857