Unamjua Daz Nunda yule wa ngoma ya "Umbo namba 8"

hii ishu ni very serious hapa bongo hata nyakati hizi, hawa vijana tulionao (hasa wana michezo na wasanii) wanaelekea huko huko!

bahati mbaya kwa sasa wameongoza na mambo ya upinde, vijana wanapigwa pipe kisa umaarufu na pesa, watakapofika 40+ tutakimbiana!,

bahati mbaya upande wa michezo naona hata wadau bado hawajaamua kuwasaudia vijana namna bora ya kuishi na kutengeneza future!
 

For sure, ngada noma sana Daz nundaz iyo kitambo sana i hope ferooz yupo okay
 
Kuna watu kazi yao kupondaponda watu wakati wao wenyewe bado wako safarini

Naona sugu kawapa shavu litafanyika alliance france pale
Sasa sijui kama show yao imefanyika au bado

Ova

Hahaa sure mkuu.

Bado haijafanyika naona mpaka 19-July-2024.
 
Hujaitaja Nipe Tano. Wakati huo walikuwa wakimwita 'Daz Mzazi'.

Ova
 
Kwa hiyo?
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…