Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
 
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
 
Bila kumsahau aliekuwa bilionea namba moja Urusi kipindi kile Mikhail Khardokorsky, alipata kumiliki kampuni ya mafuta ya Yukos na taasisi za kifedha.
 


Soviet Union chini ya Ukomunisti ilikuwa watu wote hawapishani sana kwa utajiri. Mali zote zilikuwa ni za serikali.

Ilipovunjika Soviet Union hawa akina Yeltsin ni wezi pamoja na wote wanaoonekana kuwa ni matajiri . Wamesomba mali za nchi na kujimilikisha na sasa wanawasumbua wanyonge kwa tamaa zao za mali na madaraka. Katika vita vyao ni nyasi ndio zinazoumia
 
Thinking aloud,no more bullets to shoot down clear and present dangers to democracy?
 
Hapo utakuta MI6 wanamfuatilia kila anachofanya!!
 
🚮🚮 unamtisha nani?
Hizi ni akili zilizochanyika na kinyesi cha mzee
 
JF imejaa watu intelligent sana na wanaoijua vema dunia hii
Ni kweli lkn jamaa alinikaribisha chakula cha jioni! palee ''Kremlin'' wkt tunakula sasa nikamwawambia Tizama bwana Rais nchi yako hii ina maguvu, ya kila aina na ni kubwa mno! haipangiwi cha kufanya km zilivo nchi zetu, kwa nini usiamue kukaa wewe km wewe.

Haina maana kufuata taratibu za kimagahribi saaana! sasa angalia kila mara Mnachagua mkuu wa chi hii haina maana kwenu hata kidogo amueni nani ana faa awe Rais wa maisha au vepe................kuumbe yale mawazo yangu aliyafanyia kazi sana ndivo urusi inaendeshwa hivo!1 mpaka kesho!

umafia ueanzia sec. huko
 
Nimependa hapo ulipomalizia Soldier hapo kwenye usisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…