Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Mkuu umenichoka!!mwingine si Sexless 😉
Hampiti nyegere, acha kabisa, ana meno makali kiasi kwamba buti la jeshi likiwa karibu yake analichanachana kama yale majinsi ya michaniko chaniko, huyu mdudu ni kang'ang'anizi sana aisee, kama huyu msemaji wa ccccm, maana ametoka kwenye uanaharakati na kuwa msema hovyo hovyo , yaani kama anakula kinyesiMwanaume ukiingia kwenye anga za pimbi kuw makini na nyeti zako la sivyo ndo basi tena
View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.
Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.
Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021
View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.
Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.
Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021
Hapa umekuja na jinsia ipi Mzee Mama!!?..😀[emoji2]Mkuu umenichoka!!
wanapanda wanakimbia na kushuka wanakimbia ukifatilia utawakuta wanaulzia bei za leso na pwezahahaha nimefananisha na watu wanaoshuka kwenye panton speed unajua labda kuna kitu wanawahi,ukifika mbele unawakuta hawana cha maana walichowahi
Hao hawana tofauti na huyu jamaa anajiita mwanasheria anayetaka kwenda kumshtaki tundu mahakama ya kimataifa, nahofia asije akatifua mavi yaliyoanza kukauka juu kumbe ndani bado mabichi, huo mnuko wake wataachana njia, ngoja tusubiriDah nakumbuka enzi niko msitu wa monduli pale..kulikuwa kuna pimbi wanakimbiza mbwa badala ya mwamba kukimbizi pimbi...walikuwa wananishangaza wale walikuwa pimbi wa aina gani sijui mkuu kama wana aina tofaut tofaut hebu tuletee hapa..wale pimbi walikuwa wanakula adi nyama duh
Huyu hayupo tofauti na Tom, kwenye katuni ya Tom and Jerry, huwa haeleweki yeye ni nani kwenye CCCM, maana anadakia majukumu ambayo sio ya kwake, nina hofu akienda kwa dada yake atamshangaza shemeji yake, maana inawezekana akataka kuchukua majukumu ya dada, sijui itakuwaje, subiri tuone!!!!Tabia zake Pimbi kama Jerry Muro [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Taratibu mzeeMfupi kama Pimbi.
Mapimbi halafu wanapenda mademu warefu !
Hahaha no hurry in Africawanapanda wanakimbia na kushuka wanakimbia ukifatilia utawakuta wanaulzia bei za leso na pweza