Unamjua mnyama Pimbi?

Unamjua mnyama Pimbi?

Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mtu akikwambia "wewe ni pimbi" amekutukana sana hats Trump angetuambia waAfrika ni mapimbi ingekuwa safisana
 
Mwanaume ukiingia kwenye anga za pimbi kuw makini na nyeti zako la sivyo ndo basi tena
Hampiti nyegere, acha kabisa, ana meno makali kiasi kwamba buti la jeshi likiwa karibu yake analichanachana kama yale majinsi ya michaniko chaniko, huyu mdudu ni kang'ang'anizi sana aisee, kama huyu msemaji wa ccccm, maana ametoka kwenye uanaharakati na kuwa msema hovyo hovyo , yaani kama anakula kinyesi
 
View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.

Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.

Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021

Tabia zake Pimbi kama Jerry Muro [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwi kwi kwi LoL! Hapo yuko busy kucheza na ulimi wake.

View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.

Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.

Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021
 
Mapimbi wengine wale mashabiki wa hizi timu mbili kubwa za kabumbu za hapa nchini.

Utakuta kundi kubwa la watu wamekusanyika asubuhi mapema utafikiri wanajadili mambo ya maana ukisogea kusikiliza unakuta ni mambo ya simba au yanga wakimjadili mchezaji eti ameuza mechi!!!!
 
Dah nakumbuka enzi niko msitu wa monduli pale..kulikuwa kuna pimbi wanakimbiza mbwa badala ya mwamba kukimbizi pimbi...walikuwa wananishangaza wale walikuwa pimbi wa aina gani sijui mkuu kama wana aina tofaut tofaut hebu tuletee hapa..wale pimbi walikuwa wanakula adi nyama duh
 
Hao hawana tofauti na huyu jamaa anajiita mwanasheria anayetaka kwenda kumshtaki tundu mahakama ya kimataifa, nahofia asije akatifua mavi yaliyoanza kukauka juu kumbe ndani bado mabichi, huo mnuko wake wataachana njia, ngoja tusubiri
 
Tabia zake Pimbi kama Jerry Muro [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu hayupo tofauti na Tom, kwenye katuni ya Tom and Jerry, huwa haeleweki yeye ni nani kwenye CCCM, maana anadakia majukumu ambayo sio ya kwake, nina hofu akienda kwa dada yake atamshangaza shemeji yake, maana inawezekana akataka kuchukua majukumu ya dada, sijui itakuwaje, subiri tuone!!!!
 
Back
Top Bottom