Unamjua mnyama Pimbi?

Mbn huyu kamaa nguchiro hushinda sana majalalalni husku kaatika maeeneo.ya vijiji vilivyokaribu na mapori
 
Hahahaha eti anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja hadi nyingine afu akifika analala na kurudi,anaamua tu kujichosha hahahaha pimbi nae buana akili zake[emoji23][emoji23]

Afu pimbi ana mwanya au ameng'oa jino?
 
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
msiba na ngamia
 
sasa mlitaka pimbi avae suti na kwenda ofisini nn....dont judge a snake by its ability to climb a tree...thats what makes rock barger a rock barger
 
pimbi ni wale walioletewa demokrasia ili waitumie ili kuwa wakuu wa nchi zao ila wakawa majizi na kujituma kuwaandama majizi wenzao awa ndo pimbi wakubwa[emoji14] [emoji14] .
 
Mi ni pimbi zaidi ya pimbi, ukiniletea upimbi nitakufanyia upimbi zaidi ya upimbi wa pimbi mwenyewe, napenda mademu warefu then siwapati[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
hahaha nimefananisha na watu wanaoshuka kwenye panton speed unajua labda kuna kitu wanawahi,ukifika mbele unawakuta hawana cha maana walichowahi
Wabafanya mazoezi ya kukimbia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Pimbi ananyayo za ajabu sana...aking'ang'ania jiwe kwa kukandamiza unyayo wake humung'oi hasa akiwa ndani ya pango la mawe!
 
UKIMKIMBIZA AKICHOKA ANAJIFICHA KWENYE KITU CHOCHOTE ,KAMA KIJIWE AU KICHUGUU HATA KAMA NI KIDOGO KULIKO YEYE
 
Kuna sehemu kule wanauza supu ya pimbi, ni nzur sana zaidi ya pweza, vumbi la kongo au mkuyati,
 
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,

waite pimbi wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…