Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo wao ni kukimbia tu ndo wanapenda!?Hostel za Serengeti wamejaa kibao hadi vyooni ukitokezea tu wanakula kona.
msiba na ngamiaMapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
mkuu inaweza ikawa kama ile issue ya kware nusura watoweke kwenye uso wa duniaYeap, nyama ya pimbi ni tamu balaa
Ayaaaa mkuu tutake radhi cc: @roberto_20Mapimbi wengine ni wanaong'ang'ania Arsenal,,
Watu wanahama dini seuze timu...!!
Wabafanya mazoezi ya kukimbia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hahaha nimefananisha na watu wanaoshuka kwenye panton speed unajua labda kuna kitu wanawahi,ukifika mbele unawakuta hawana cha maana walichowahi
Wanatabia kama za ndama mtoto wa ng'ombe...they are restless I can say.Kwa iyo wao ni kukimbia tu ndo wanapenda!?
Hata mimi hapo pamenifurahisha sana khaa,nimjaribu kuvuta picha nikabaki nimetabasamu tu.Hahhaha
Eti mkuku pori lingine kwenda kulala tu.
Ngoja nimfuatilie.
Da!! [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1]Ana meno kama mkamia
Wewe unasema NYEGELE mkuuuMwanaume ukiingia kwenye anga za pimbi kuw makini na nyeti zako la sivyo ndo basi tena
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,