[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha eti anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja hadi nyingine afu akifika analala na kurudi,anaamua tu kujichosha hahahaha pimbi nae buana akili zake[emoji23][emoji23]
Afu pimbi ana mwanya au ameng'oa jino?
AhahahaaaaaaMapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Hahaha, daaah nimecheka kinomahahaha nimefananisha na watu wanaoshuka kwenye panton speed unajua labda kuna kitu wanawahi,ukifika mbele unawakuta hawana cha maana walichowahi
Ina maana pimbi hana tofauti na yanga!View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.
Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.
Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021
Haaaaa Haaaaa 😂hahaha nimefananisha na watu wanaoshuka kwenye panton speed unajua labda kuna kitu wanawahi,ukifika mbele unawakuta hawana cha maana walichowahi
Asubh kabisa, pale msimbaz k'koo kijiwe Cha kahawaMapimbi wengine wale mashabiki wa hizi timu mbili kubwa za kabumbu za hapa nchini.
Utakuta kundi kubwa la watu wamekusanyika asubuhi mapema utafikiri wanajadili mambo ya maana ukisogea kusikiliza unakuta ni mambo ya simba au yanga wakimjadili mchezaji eti ameuza mechi!!!!
UKIMKIMBIZA AKICHOKA ANAJIFICHA KWENYE KITU CHOCHOTE ,KAMA KIJIWE AU KICHUGUU HATA KAMA NI KIDOGO KULIKO YEYE
Siku 5 baadaye ndy ikawa 'last seen' yako humu Jf.Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Sahihi.Asubh kabisa, pale msimbaz k'koo kijiwe Cha kahawa
Yule ni nyegereMwanaume ukiingia kwenye anga za pimbi kuw makini na nyeti zako la sivyo ndo basi tena