Unamjua mnyama Pimbi?

Unamjua mnyama Pimbi?

Hahahaha eti anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja hadi nyingine afu akifika analala na kurudi,anaamua tu kujichosha hahahaha pimbi nae buana akili zake[emoji23][emoji23]

Afu pimbi ana mwanya au ameng'oa jino?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Ahahahaaaaaa
 
View attachment 678020
Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.

Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.

Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
View attachment 678021
Ina maana pimbi hana tofauti na yanga!

Kwani jana alikimbia mbio kwenda uwanja wa Taifa kisha akarudi jangwani bila kuambulia kitu chochote.
 
Mapimbi wengine wanapigana vikumbo kuingia ndani ya Daladala wakifika huko, wanalalia seat , kusimama na kukaa tu hawana cha kufanya! halafu wanateremka mbele, mapimbi wengine wanapigania daladala nyingine tena! wakiitwa pimbi watapigana kweli hawa?? si ndo watakuwa mapimbi zaidi?
 
Mapimbi wengine wale mashabiki wa hizi timu mbili kubwa za kabumbu za hapa nchini.

Utakuta kundi kubwa la watu wamekusanyika asubuhi mapema utafikiri wanajadili mambo ya maana ukisogea kusikiliza unakuta ni mambo ya simba au yanga wakimjadili mchezaji eti ameuza mechi!!!!
Asubh kabisa, pale msimbaz k'koo kijiwe Cha kahawa
 
Mapimbi wengine ni hawa wanaong'ang'ania rais apewe miaka saba, yaani hawa ni mapimbi kuliko pimbi wenyewe, yaani wananikera kila ninapowaona, yaani hawana aibu kabisa hawa viumbe,
Siku 5 baadaye ndy ikawa 'last seen' yako humu Jf.
Isiwe wamekufanyia upimbi!
 
Harakati zake kama za chama fulani, mara ukuta, mara op sangara ila hakuna lolote la maana.
 
Back
Top Bottom